Imeelezwa Kuwa Moja Ya Jukumu La Viongozi Wa Mamlaka Ya Bonde La Mto Pangani Ni Kutoka  Ofisini Kuzungukia Katika Vijiji Ili Kujua Vyanzo Vya Maji, Kuviainisha Na Kuviwekea Mipaka.

Hayo Yamesemwa Na Waziri Wa Maji Jumaa Aweso Amefika Mkoani Arusha, Wilaya Ya Arumeru Kata Ya Shambarai Burka Kuzindua Mradi Wa Uchimbaji Wa Mto Nduruma Ili Kurudisha Katika Mkondo Wake. 

Waziri Aweso Amesema Maji Hayana Mbadala Hivyo Kila Mmoja Ana Jukumu La Kulinda Na Kutunza Vyanzo Vya Maji Hivyo Kwa Manufaa Yetu Na Kuokoa Familia Zetu.

Nae Mbuge Wa Wilaya Ya Arumeru John Pallanjo Amemshukuru Waziri Aweso Kwa Kutoa Fedha Kwaajili Ya Kurudisha Mto Nduruma Katika Mkondo Wake Na Hatimaye Wananchi Wataishi Bila Kuhofia Mafuriko.

Pia Mkurugenzi Wa Bonde La Maji Mto Pangani Segule Segule Ameeleza Kuwa Kutokana Na Maagizo Ya Waziri Aweso Wameweza Kuanza Kutekeleza Mradi Huo  Ambao Utaondoa Madhara Kwa Wanachi Kwa Zaidi Ya Kaya 700 Na Mashamba Hekari 2000.

Kutokana Na Mto Pangani Kupoteza Njia Yake Ya Asili Kumesababisha Maji Kusambaa Na Kuleta Athari Nyingi Zikiwemo Wananchi Kufariki, Wananfunzi Kukosa Masomo Na Mifugo Kusombwa Na Maji Kwa Wakaazi Wa Kata Ya Shambarai Na Mbuguni.

Hata Hivyo Maradi Wa Kuurudisha Mto Nduruma Kwenye Mkondo Wake Unatarajiwa Kugharimu Tsh Millioni 250, Ambapo Unatarajiwa Kufanyika Kwa Awamu Tatu.

VYANZO VYA MAJI VIWEKEWE MIPAKA : WAZIRI AWESO

No comments:

Post a Comment