Chuo cha Afya Nofota College of Health and Allied Sciences- NOCoHAS kilichopo Ada Estates Kinondoni jijini Dar es Salaam ni mkombozi kwa watanzania ambao wanatamani kusoma kozi za afya lakini hawana sifa. 

 Ukiwa umemaliza Darasa la Saba au Kidato cha NNE na hukufaulu sasa kamata nafasi ya pili  kupitia chuo kipya cha Nofota College Chuo hicho kipo ndani ya majengo ya hospitali ya Tanzanord Kinondoni wote mnakaribishwa kujiunga na Chuo hicho angalia Mawasiliano kwenye kipeoerushi hapa chini Kwa ajili ya kujiunga.

CHUO CHA AFYA NOFOTA KINAKUKARIBISHA KUJIUNGA NA MASOMO YA AFYA 2022/2023

Chuo cha Afya Nofota College of Health and Allied Sciences- NOCoHAS kilichopo Ada Estates Kinondoni jijini Dar es Salaam ni mkombozi kwa watanzania ambao wanatamani kusoma kozi za afya lakini hawana sifa. 

 Ukiwa umemaliza Darasa la Saba au Kidato cha NNE na hukufaulu sasa kamata nafasi ya pili  kupitia chuo kipya cha Nofota College Chuo hicho kipo ndani ya majengo ya hospitali ya Tanzanord Kinondoni wote mnakaribishwa kujiunga na Chuo hicho angalia Mawasiliano kwenye kipeoerushi hapa chini Kwa ajili ya kujiunga.

No comments:

Post a Comment