Mtandao wa Vikundi vya Kilimo Mkoani Arusha  Mviwaeke Umezindua kituo kidogo cha Uchakataji wa Mazao Kijiji cha Ekenywa Mkoani Arusha ili kupunguza adha ya Kusafiri umbali mrefu kupata huduma ya Uchakataji.

Akizindua Kituo hicho cha Uchakataji Katibu Tawala Mkoa Arusha Misaile Albano Musa amesema wakulima wa Kikundi hicho wanatakiwa Kujisajili  ili  kupata Mbolea ya Ruzuku itakayo saidia katika uzalishaji wa mazao yatakayo kuwa yakichakatwa katika Kituo hicho.

Naye Mkurugenzi wa Wilaya  Arumeru Suleimani Msumi amesema zoezi la wakulima kujisajili ni zoezi ambalo limekuwa  likifanyika Taratibu Licha ya Kuwa wamekuwa wakifanya Jitihada mbalimbali kuhakikisha kuwa zoezi hilo linakamilika kwa wakati ili kufikiwa na Mbolea ya Ruzuku.

Aidha Kwa Upande wake Mbunge wa Arumeru Magharibi Noah Lembris Saputu amepongeza Mtandao wa Vikundi vya Kilimo Mviwaeke kwa kudhutu kuwa na Kituo Kidogo cha Uchakataji ambacho kitasaidia Kuongeza Uzalishaji wa zao Hilo katika Kijiji hicho.

Wadhamini wa Mashine ya Uchakataji kampuni ya  We effect kutoka nchini Kenye kupitia mkurugenzi wake Bw. George Unyango amewataka kuzalisha Mafuta kwa Viwango vinavyo Takiwa katika Soko la Leo  ili Kujitengenezea soko kubwa hata nje ya Nchi badala ya Kuza Tanzania pekee.

Kituo Hicho Kidogo cha Uchakataji kitasaidia wakulima wa zao la alizeti  na Karnga Zaidi 4000 ambao walikuwa wanasafiri umbali mrefu takribani kilmita 50 Kufuata Huduma hiyo ya Uchakataji

Mtandao wa Vikundi vya Kilimo Mkoani Arusha Una lengo la kuwasaidia wakulima kulima kisasa, Kutafuta Masoko ya Mazao na Kusaidia kuyaongezea Thamani mazao Hayo Ili kujikwamua Kiuchumi kupitia Vikundi na Kwa ngazi ya Kaya.

MVIWAEKE ARUSHA WAZINDUA KITUO CHA UCHAKATAJI MAFUTA YA KULA

No comments:

Post a Comment