Wamama wajawazito wameshauriwa kuwa na utamaduni wa kujifunguliwa katika vituo vya afya ili kujiepusha na magonjwa mbali mbali ikiwemo fistula.

Wito huo umetolewa na muuguzi wa kituo cha afya kivulini kilichopo Kisongo mkoani Arusha dkt Doreen wakati akizungumza na kituo hiki, kuhusu suala la fistula.

Mjumbe wa kamati ya fistula marathoni Jonas Matula amesema wanatarajia kufanya marathoni may 22 mwaka huu na kusema lengo la  mbio hizo kupata fedha ili kuwahudumia wagonjwa wa fistula.

Naye muuguzi wa kituo cha afya cha kivulini Rozalia Jackob amesema ugonjwa wa fistula huwapata wanawake waliopo katika umri wa kubeba mimba.

Hata hivyo kwa mwaka huu maadhimisho ya Fistula yanadhimishwa May 13, mkoani Arusha, ambapo kwenye  maadhimisho hayo huduma za afya zitatolewa bure na watalam kutoka maeneo tofauti.

KIVULINI MATERNITY CENTRE KUJA NA FISTULA MARATHON

No comments:

Post a Comment