Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Tanzania Rose Muhando Katika Mahojiano na Wasafi Fm amesema katika watoto wake watatu kila Mtoto anababa yake.
Muhando amesema Kuwa Tangu aingia katika Umaarufu hajawahi kuwa na Furaha Zaidi ya kuumia na kuishi maisha ambayo hakuyatarjia.
“Watoto Wangu Watatu wanababazao toka niingie maisha ya umaarufu sijawahi kuwa na furaha" alisema rose muhado.
Itakumbukwa Rose Muhando amesha Zushiwa Kufa Mara kwa mara lakini Mungu anaendelea Kumtegemeza ili hali anapitia Changamoto katika Maisha Yake.
No comments:
Post a Comment