Dar es Salaam.

Mifarakano kwenye ndoa au uhusiano miongoni mwa wenza, inachangia kuwaathiri watoto kisaikolojia na katika ukuaji wao hasa wanaposhuhudia wazazi wakilumbana.

Imeelezwa kuwa moja ya athari kwao ni kuona vitendo fulani ni vya kawaida kwa kuwa walizoea kuona vikifanywa na wazazi wao.

Hayo yalielezwa jana na watendaji wa Jukwaa la Utu wa Mtoto (CDF) wakati wa mafunzo ya afya ya uzazi kwa wasichana wa Shule ya Sekondari Kitunda, huku wakikiri kwamba wanafunzi wengi wamekuwa wakieleza namna wanavyoumizwa kihisia kutokana na ugomvi kati ya baba na mama ambao wakati mwingine husababisha talaka.

TALAKA ZINAVYO ATHIRI WATOTO KISAIKOLOJIA NA MASOMO

No comments:

Post a Comment