Muhuburi Wa Injili kutoka Kenya Rev. Lucy Natasha amefunga ndoa ya kimila/kitamaduni na Mumewe Prophet Stanley Carmel mwenye asili ya India January 29,2022. 
 
Harusi hiyo imekuja baada ya Proph. Stanley Carmel kumposa Rev. Lucy Natasha mnamo November 27,2021.
 
Kwakuthibitisha hilo amepost picha mbali mbali za sherehe ya harusi hiyo hiyo katika ukurasa wake wa Instagram kuonyesha watu mbalimbali waliohudhuria.
 
Ameandika “ Mapema leo tukielekea kwenye Harusi yetu ya kitamaduni, ni furaha kubwa kuona familia zetu zikiimarisha uhusiano mzuri tulionao “

REV LUCY NATASHA AFUNGA NDOA YA KIMILA :

No comments:

Post a Comment