Aliyewahi kuwa mtangazaji wa Habari Maalum fm 97.7 Kupitia kipindi cha Praise Time Joff Mulenga amekuwa Repoter wa Kipindi cha Chomoza kinacho Peperushwa Clouds Tv kila asubuhi siku ya jumapili.
Kwa Mujibu wa Post ambayo ameipost tarehe 23.11.2018 kupitia
ukurasa wake wa Instagram majira ya asubuhi
na Kuwa Commented na Muongozaji
mkuu wa Kipindi hicho cha Chomoza anayetambulika kwa jina la Jimmy imedhihirisha kuwa atakuwa Repoter wa kipindi hicho kutoka ukanda huu wa
kaskazini.
Taarifa zinasema kuwa
hii itasaidia sana kuweza kutambulisha
muziki wa Injili kutoka kanda ya
kasikazini na pia ni Fursa kwa waimbaji na waandaaji wa events mbalimbali za
Gospel kutangaza kupitia Chomoza ya
Clouds TV.
No comments:
Post a Comment