Saudi Arabia Yaruhusu Ujenzi Wa Makanisa Kupitia Makubaliano Kati Ya Viongozi Wa Wahhabi Na Kadinali Wa Vatican
Hii Imeleta Uwezekano Wa Kufanikiwa Kwa Harakati Hizi Zilizoanza 2008
Ulionekana Baada Ya Mwanamfalme Mohammed Bin Salman Kuingia Madarakani.
Nchi Ya Saudia Sasa Imekubali Bila Kinyongo Kuruhusu Makanisa
Kujengwa Maeneo Mbalimbali Nchini Humo Baada Ya Kusainiwa Makubaliano
Kati Ya Viongozi Wa Wahabbi Na Umoja Wa Makadinali Wa Vatican Wa Kanisa
Katoliki.
Nchi Ya Saudi Arabia Imeamua Kuruhusu Ujenzi Wa Makanisa Baada Ya
Kusainiwa Kwa Makubaliano Kati Ya Viongozi Wa Wahhabi Na Kadinali Wa
Vatican.
Makubaliano Hayo Kati Ya Rais Wa Baraza La Kipontifiki Ya Midahalo Ya
Dini Mbalimbali, Kadinali Jean-Louis Tauran Na Sheikh Mohammed Bin
Abdel Karim Al-Issa, Ambaye Ni Katibu Mkuu Wa NGO Kubwa Ya Wahhabi
Yanalenga Kuruhusu Ujenzi Wa Makanisa Pamoja Na Mikutano Ya Waislamu Na
Wakristo Mara Moja Kila Baada Ya Miaka Miwili.
Hadi Sasa Inakadiriwa Kuwa Kuna Wakristo Zaidi Ya Milioni 1.5 Nchini
Humo Ambao Ni Wahamiaji Wanaofanya Kazi Hususani Kutoka Nchi Ya
Ufilipino.
Uwezekano Wa Ufanikiwa Kwa Harakati Hizi Za Vatican Zilizoanza Mwaka
2008 Ulianza Kuonekana Baada Ya Mwanamfalme Mohammed Bin Salman Kuingia
Madarakani Ambapo Amedhamiria Kubadili Muonekano Wa Nchi Hiyo Kimataifa
Kwa Kubadili Mambo Kadhaa.
Katika Kipindi Chake Tayari Ameshabadili Taratibu Kadhaa Zilizokuwepo
Kwa Miaka Mingi Kama Wanawake Kutoruhusiwa Kuendesha Magari Na Kutakiwa
Kuwa Na Mwangalizi Muda Wote.
=========
Saudis Sign Deal With Vatican To Build Churches: Report
Saudi Arabia Will No Longer Be The Only Gulf State With No Public Christian Places Of Worship, After An Agreement Was Signed Between Local Wahhabi Leaders And A Vatican Cardinal To Establish A Cooperative Relationship.
Saudi Arabia Will No Longer Be The Only Gulf State With No Public Christian Places Of Worship, After An Agreement Was Signed Between Local Wahhabi Leaders And A Vatican Cardinal To Establish A Cooperative Relationship.
“This Is The Beginning Of A Rapprochement… It Is A Sign That The
Saudi Authorities Are Now Ready To Give A New Image To The Country,” One
Of The Most Senior Catholic Officials, President Of The Pontifical
Council For Inter-Religious Dialogue Cardinal Jean-Louis Tauran, Told
The Vatican News Website After Returning From Riyadh.
Tauran Was In Saudi Arabia For A Week In The Middle Of Last Month, In
A Visit That Was Widely Covered By Local Media, And Mostly Ignored By
The English-Language Press. He Met With The De-Facto Ruler Crown Prince
Mohammed Bin Salman And With Multiple Spiritual Leaders.
The Final Accord Signed Between Tauran And Sheikh Mohammed Bin Abdel
Karim Al-Issa, Secretary General Of The Muslim World League, A Leading
Wahhabi NGO, Paves The Way Not Only For Building Projects, But Has
Outlined Plans For Muslim-Christian Summits Once Every Two Years And For
Greater Rights For Non-Islamic Worshippers In The Gulf Kingdom.
Saudi Arabia Has A Reputation As One Of The Most Religiously
Intolerant Regimes In The World. Non-Muslims Are Punished For Any
Displays Of Their Religion Outside Of Their Homes, While Any Muslim Who
Decides To Convert To Another Faith Is Subject To A Death Sentence For
Apostasy. Islamic Religious Law Is Imposed Uniformly On All Those
Resident In The Oil-Rich State, Regardless Of Beliefs, While A Dedicated
Religious Police Oversees Compliance.
Nonetheless, There Has Been An Influx Of Migrant Workers To The
Kingdom In The Past Decades, And More Than 1.5 Million Christians Are
Thought To Be In The Country, Mostly From The Philippines.
Attempts To Negotiate A More Visible Status For Christianity By The Vatican Date Back Years And, In 2008, It Also Announced A Potentially “Historic” Agreement To Construct The First Modern-Day Church, A Plan That Was Eventually Shelved.
Attempts To Negotiate A More Visible Status For Christianity By The Vatican Date Back Years And, In 2008, It Also Announced A Potentially “Historic” Agreement To Construct The First Modern-Day Church, A Plan That Was Eventually Shelved.
But The Possibility Of At Least A Cosmetic Display Of Tolerance
Appears More Likely In The Reign Of The Image-Conscious Mohammed Bin
Salman, Who Has Already Abandoned Several Landmark Customs, Such As
Those Forbidding Women From Driving, Or Requiring Them To Be Under The
Constant Supervision Of Their Guardians.
No comments:
Post a Comment