WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe
amemteua Mhandisi Dkt. Richard Joseph kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo
cha Michezo Malya, ambapo huo umetekelezwa kwa mujibu wa sheria ya Na. 9
ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ya mwaka 1997.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment