Shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA) limetangaza kikosi bora cha wiki hii kwenye michuano ya klabu bingwa barani Ulaya ambapo klabu mbili kutoka Uingereza za Chelsea na Manchester United zimefanikiwa kutoa mchezaji mmoja mmoja huku Bayern wakiambulia patupu.

Kwenye kikosi hicho Klabu ya Barcelona ndio klabu iliyotoa wachezaji wengi (4) ikifuatiwa na Roma wachezaji watatu na Bestikas mchezaji mmoja.

Kwenye kikosi hicho ambacho wanaangalia mchango wa mchezaji mmoja mmoja kwenye nafasi yake klabu ya Bayern haijafanikiwa kuingiza mchezaji hata mmoja ingawaje juzi Machi 14, 2018 wameichabanga Beskitas magoli 3-1 .

UEFA yatangaza kikosi bora cha wiki hii

No comments:

Post a Comment