Rais Dkt. John Pombe Magufuli amemualika Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin
Netanyahu kutembelea Tanzania pamoja na kufungua ofisi ya ubalozi wa
nchi hiyo hapa nchini. Taarifa ya Ikulu imeeleza.

No comments:
Post a Comment