Jenerali
Valery Guerassimov amesema, katika mahojiano yaliyochapishwa na gazeti
la kila siku la Komsomolskaya Pravda, kwamba jeshi la Marekani linatumia
kambi ya kijeshi ya Tanf, kambi kubwa kwa mawasiliano muhimu kwenye
mpaka wa Iraq kusini mwa Syria.
Kambi hii iliotajwa kinyume cha
sheria na eneo lilinaloizunguka vinaunda "shimo nyeusi" ambalo
wapiganaji wa Kiiislamu wanaweza kuendesha mazoezi yao,Jenerali
Guerassimov amebaini.
Marekani inasisitiza kuwa kambi ya Tanf ni
kambi ya muda mfupi inayotumiwa kutoa mafunzo kwa vikosi vinavyotoa
ushiriki wao kwa kupambana na wapiganaji wa IS.
Jeshi la Marekani limekanusha mara kadha tuhuma hizo dhidi yake.
Jenerali Guerassimov amesema kuwa wapiganaji hao wa zamani wa IS wanajiita Jeshi Jipya la Syria au wanatumia majina mengine.
Uwepo
wa wapiganaji hawa katika kambi ya Tanf uligunduliwa na satelaiti
pamoja na ndege zisizokuwa na rubani za Urusi. Jenerali Guerassimov
ameongeza kuwa sehemu kubwa ya wanajihadi na askari wa zamani wa IS pia
wako katika mji wa Chadadi,katika kambi nyingine ya Marekani.
Mkuu wa majeshi ya Urusi ameishtumu Marekani kutoa mafunzo kwa wapiganaji wa zamani wa kundi la Islamic (IS) nchini Syria ili kuhatarisha usalama wa nchi hiyo.
Urusi yaishutumu Marekani kutoa mafunzo kwa wapiganaji wa zamani wa IS
Mkuu wa majeshi ya Urusi ameishtumu Marekani kutoa mafunzo kwa wapiganaji wa zamani wa kundi la Islamic (IS) nchini Syria ili kuhatarisha usalama wa nchi hiyo.
Jenerali
Valery Guerassimov amesema, katika mahojiano yaliyochapishwa na gazeti
la kila siku la Komsomolskaya Pravda, kwamba jeshi la Marekani linatumia
kambi ya kijeshi ya Tanf, kambi kubwa kwa mawasiliano muhimu kwenye
mpaka wa Iraq kusini mwa Syria.
Kambi hii iliotajwa kinyume cha sheria na eneo lilinaloizunguka vinaunda "shimo nyeusi" ambalo wapiganaji wa Kiiislamu wanaweza kuendesha mazoezi yao,Jenerali Guerassimov amebaini.
Marekani inasisitiza kuwa kambi ya Tanf ni kambi ya muda mfupi inayotumiwa kutoa mafunzo kwa vikosi vinavyotoa ushiriki wao kwa kupambana na wapiganaji wa IS.
Jeshi la Marekani limekanusha mara kadha tuhuma hizo dhidi yake.
Jenerali Guerassimov amesema kuwa wapiganaji hao wa zamani wa IS wanajiita Jeshi Jipya la Syria au wanatumia majina mengine.
Uwepo wa wapiganaji hawa katika kambi ya Tanf uligunduliwa na satelaiti pamoja na ndege zisizokuwa na rubani za Urusi. Jenerali Guerassimov ameongeza kuwa sehemu kubwa ya wanajihadi na askari wa zamani wa IS pia wako katika mji wa Chadadi,katika kambi nyingine ya Marekani.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment