Marekani inasema kuwa maafisa hao wawili wanachangia katika shughuli ya kuundwa kwa makombora ya nchi hiyo.
Hayo
yanajiri wakati ambapo Baraza la ulianzi la Umoja wa Mataifa liliiwekea
vikwazo vipya Korea Kaskazini siku ya Ijumaa kujibu majaribio yake ya
makombora ya masafa marefu.
Kwa mujibu wa wizara ya fedha ya
Marekani, Kim Jong-sik na Ri Pyong-chol walikuwa viongozi wakuu katika
mpango wa Korea Kaskazini wa makombora ya masafa marefu.
Vikwazo
hivyo vipya vya Marekani vitazuia shughuli zozote za maafisa hao wawili
zinazofanywa nchini Marekani, na hata kutwaliwa kwa mali yao iliyo
nchini Marekani.
Maafisa
hao wamekua wakionekana mara kwa mara wakiwa na kiongozi wa Korea
Kaskazini Kim Jong-un katika maeneo ya kufanyia majaribio ya makombora.
Marekani
na Korea Kaskazini wamekua wakitoleana maneno ya kivita, baada ya Korea
kaskazini kuendelea na mpango wake wa kutngeneza silaha za nyuklia na
kufanya majaribio ya makombora ya masafa marefu, ikiwa ni pamoja na
makombora yanayoweza kufika nchini Marekani.
Mvutano kati ya Marekani na Korea Kaskazini unaendelea, huku Marekani ikichukua hatua ya kuwawekea vikwazo wataalamu wa makombora wa Korea Kaskazini.
Marekani yawawekea vikwazo maafisa kadhaa wa Korea Kaskazini
Mvutano kati ya Marekani na Korea Kaskazini unaendelea, huku Marekani ikichukua hatua ya kuwawekea vikwazo wataalamu wa makombora wa Korea Kaskazini.
Marekani inasema kuwa maafisa hao wawili wanachangia katika shughuli ya kuundwa kwa makombora ya nchi hiyo.
Hayo yanajiri wakati ambapo Baraza la ulianzi la Umoja wa Mataifa liliiwekea vikwazo vipya Korea Kaskazini siku ya Ijumaa kujibu majaribio yake ya makombora ya masafa marefu.
Kwa mujibu wa wizara ya fedha ya Marekani, Kim Jong-sik na Ri Pyong-chol walikuwa viongozi wakuu katika mpango wa Korea Kaskazini wa makombora ya masafa marefu.
Vikwazo hivyo vipya vya Marekani vitazuia shughuli zozote za maafisa hao wawili zinazofanywa nchini Marekani, na hata kutwaliwa kwa mali yao iliyo nchini Marekani.
Maafisa hao wamekua wakionekana mara kwa mara wakiwa na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un katika maeneo ya kufanyia majaribio ya makombora.
Marekani na Korea Kaskazini wamekua wakitoleana maneno ya kivita, baada ya Korea kaskazini kuendelea na mpango wake wa kutngeneza silaha za nyuklia na kufanya majaribio ya makombora ya masafa marefu, ikiwa ni pamoja na makombora yanayoweza kufika nchini Marekani.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment