Hoja ya Korea Kaskazini kuendelea kufanya majaribio ya nyuklia kinyume na makubaliano ya kimataifa imejadiliwa kwa kina leo kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, wakikutana mawaziri wa mambo ya nje na mabalozi ambao nchi zao ni wajumbe wa baraza hilo.
Korea Kaskazini na Korea Kusini zilihudhuria kwa mujibu wa kanuni namba 37 ya Baraza la Usalama ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres akasisitiza umoja ndani ya chombo hicho ili hatihati ya usalama iliyopo isiongezeke.
Korea Kaskazini ijulikanayo pia kama Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Korea, DPRK imefanya majaribio ya makombora ya masafa marefu pamoja na nyuklia ambapo Bwana Guterres amesema..
Na kama hiyo haitoshi, Bwana Guterres akasema shirika la nishati ya atomiki la Umoja wa Mataifa, IAEA bado haliruhusiwi kuingia DPRK kukagua mpango wa nyuklia wa nchi hiyo ambapo kazi ya ukaguzi inafanywa kwa kutumia picha za setilaiti. Ndipo akatoa mapendekezo yake..
Makombora yetu “hayakiuki” kanuni zozote- Korea Kaskazini

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment