Jeshi la Polisi kikosi cha usalama barabarani Jijini Arusha limetoa Wito kwa madereva wa pikipiki maarufu bodaboda kuzingatia sheria za barabarani ili kuepusha ajali zisizotarajiwa.

 Rai Hiyo imetolewa na WP 75,56 Coplo Jeska kutoka kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Arusha kituo cha Ngaramtoni kuhusu matumizi sahihi na salama barabarani  kwa dereva  na abiria wake.

 Naye Coplo Jonathani Makwaya kutoka kituo cha polisi Cha oldonyosambu amezitaja sheria za dereva kabla ya kuingia barabarani na endapo hazitafuatwa hatua za kisheria zitachukua kwa mhusika.

Baadhi ya badereva wa bodaboda wamezunguza sababu zinazochangia wao kutozingatia sheria za usalama barabarani  ,ikiwa ni pamoja matumizi ya pombe.

Ikumbukwe kuwa wiki ya nenda kwa usalama barabarani huadhimishwa kila mwaka ifikapo  Nov 23 na kwa mwaka jana ylifanyika jijini Arusha yakiongonzwa na kauli mbiu isemayo jali maisha yako na ya wengine barabarani .

BODABODA ZINGATIENI SHERIA ZA USALAMA BARABARANI: WP COPLO JESKA

No comments:

Post a Comment