Jitihada
za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) za kuwasiliana na
Mwendeshaji wa mfumo huo waliokasimiwa na Shirikisho la soka la
Kimataifa (FIFA) walioko Tunis, Tunisia ili kuziwezesha timu kufanya
usajili, zimefanikiwa.
Mtandao
huo kwa sasa upo wazi. Hivyo TFF inazitaka timu zote sasa kukamilisha
usajili kuanzia pale walipokwama. Timu zinatakiwa kusajili kabla ya
Desemba 23, mwaka huu.
Desemba
15, mwaka huu mfumo wa usajili kwa njia ya TMS ulifeli hali
iliyosababisha vilabu kushindwa kukamilisha usajili kwa wakati kupitia
mfumo huo.
Katika
mawasiliano na kampuni hiyo, FIFA na CAF wamekuwa wakipewa Taarifa ya
kila hatua inayochukuliwa na TFF hadi mfumo huo kufunguka leo Desemba
19, 2017.
Bado TFF inasisitiza vilabu vyote kuzingatia kusajili kwa wakati pale inapotokea diri
No comments:
Post a Comment