Kanisa limetakiwa Kushiriki Kikamilifu katika zoezi la Sensa na Mkazi ambalo linatarajia kufanyika  Mwezi Agost Badala ya Kuwa na Mawazo potofu Juu zoezi Hilo.

Hayo yamesemwa na Mchungaji Kiongozi wa  Kanisa la Pentecoste Yerusalem Mpya lillilopo Kijenge Mkoani Arusha Mchungaji Liberty Shirima Baada ya Ibada ya Jumapili.

Baadhi ya Washirika katika Kanisa hilo akiwemo  Stela Steven amesema Kuna Umuhimu Mkubwa Mkristo kujitokeza kushiriki katika Zoezi la Sensa ili kuisaidia Serika Kufahamu idadi ya watu waliopo na kwahudumia kwa usahihi.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepanga kufanya Sensa ya Watu na Makazi ifikapo mwezi Agosti 2022.

Wizara ya Fedha na Mipango kupitia Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar (OCGS), ipo kwenye maandalizi ya kufanya Sensa hiyo.

KANISA LATAKIWA KUSHIRIKI ZOEZI LA SENSA 2022 NA KUACHA IMANI POTOFU KUWA NYOTA INAIBIWA

Kanisa limetakiwa Kushiriki Kikamilifu katika zoezi la Sensa na Mkazi ambalo linatarajia kufanyika  Mwezi Agost Badala ya Kuwa na Mawazo potofu Juu zoezi Hilo.

Hayo yamesemwa na Mchungaji Kiongozi wa  Kanisa la Pentecoste Yerusalem Mpya lillilopo Kijenge Mkoani Arusha Mchungaji Liberty Shirima Baada ya Ibada ya Jumapili.

Baadhi ya Washirika katika Kanisa hilo akiwemo  Stela Steven amesema Kuna Umuhimu Mkubwa Mkristo kujitokeza kushiriki katika Zoezi la Sensa ili kuisaidia Serika Kufahamu idadi ya watu waliopo na kwahudumia kwa usahihi.

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepanga kufanya Sensa ya Watu na Makazi ifikapo mwezi Agosti 2022.

Wizara ya Fedha na Mipango kupitia Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kwa kushirikiana na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Zanzibar (OCGS), ipo kwenye maandalizi ya kufanya Sensa hiyo.

No comments:

Post a Comment