Hospital Ya El Specialized Pollyclinic Iliyopo Ngaramtoni Mkoani Arusha Barabara Ya Kuelekea Mnadani Inatarajia kutoa Matibabu Kwa Wale Wote Wenye Matatizo Ya Meno na Kinywa Kutoa Harufu Mbaya kwa kutumia Madaktari Bingwa kutoka Kilimanjaro Christian Medical Centre (KCMC).
Akizungumza Mganga Mfawidhi Wa Hospitali Hiyo Dk Juma Muna Wakati Akiongea Katika Kipindi Cha Amka Ungaze Kinachopeperushwa Kila asubuhi Habari maalum fm amesema Kliniki hii Maalum ya Kinywa na Meno Itafanyika Tarehe 16.05.2022.
Dk Muna Amesema Yapo Magonjwa Mbalimbali Ambayo Yanapelekea Hali Ya Kinywa Kutoa Harufu Mbaya Na Nje Ya Magonjwa Hayo Mwili Wa Binadamu Una Mifumo Mingi Ambayo Huwa Inaweza Kusababisha Kinywa Kutoa Harufu Mbaya.
“Mwili Wa Binadamu Una Mifumo Mingi Kuna Mfumo Wa Njia Ya Hewa Kuna Mfumo Wa Njia Ya Chakula Pia Kuna Magonjwa Mtu Anaweza Kuwanayo Yakapelekea Kinywa Kutoa Harufu Na Pua Pia Inaweza Kutoa Harufu Mbaya Mtu Akazani Ni Mdomo “Amesema Muna.
Vile Vile Amesema Kuwa Mwezi Wa Tano Tarehe 16 Watakuwepo Madaktari Bingwa Wa Kinywa Watakaotibu Kinywa Na Magonjwa Ya Akina Mama Kuazia Kipindi Cha Ujanani.
“Kutakua Na Madaktari Bingwa Wa Kinywa Na Meno Na Magonjwa Ya Uzazi Ya Wanawake Kutakua Na Madaktari Bingwa Kutoka Kicemsii Kwa Kushirikiana Na Hospital Ya Eli Specialize Tutakua Tumeandaa Huduma Kwa Aajili Ya Siku Hio Na Magonjwa Mengine Mengi”Amesema Dk Muna.
Hata Hivyo Dk Muna Amewataka Wale Wote Wenye Matatizo Kama Hayo Kujitokeza Siku Hiyo Ili Kuweza Kupatiwa Matibabu Ili Kuweza Kuepukana Na Unyanyapaa Katika Jamii hasa Kwa Wanandoa Kwani Mapezi Yanaazia Kwenye Harufu Nzuri Ya Kinywa.
CHANZO CHA HABARI
Jina : Dkt Juma Muna
Huduma : Mganga Mfawidhi Eli-Specialized Pollyclinic
Contact : +255746906662
+255742141016
No comments:
Post a Comment