Arusha
Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Nchini Tanzania Irene Robert Amesema Sababu Ya Yeye Kumshirikisha Christina Shusho Ni Kwa Sababu Ilikuwa Ni Sehemu Yake Na Ni Mahala Pake Kulingana Na Ujumbe Wa Wimbo.
Hayo Ameyesema Wakati Akifanya Inetrview Namtangazaji Wa Habari Maalum Fm Method Charles Katika Kipindi Cha Praise Time Ambacho Huwa Kinasikika Kila Siku Saa 01pm – 04p Jioni.
Akijibu Swali Ambalo Method Charles Alimuuliza Kwanini Hakumshirikisha Angel Bernald, Bahati Bukuku Au Rose Muhando Katika Wimbo Wake Mpya Wa Sitalia Na Badala Yake Akamshirikisha Christina Shusho Amesema Aliona Kuwa Christina Shusho Hapo Ni Mahala Pake Na Pana Mfaa Kulingana Na Aina Ya Nyimbo.
Amesema Wimbo Wa Sitalia Umehusisha Pia Maisha Yake Kwa Sababu Yeye Kama Mwanadamu Amekuwa Akipitia Lakini Pia Nyimbo Zake Nyingi Ambazo Amekuwa Akiziimba Zimekuwa Zikigusa Maisha Yake Moja Kwa Moja.
Amesema ‘’ Kuna Kuna Wakati Kuna Kipindi Nilikuwa Mtu Wa Kulia Sana Lakini Mungu Ni Mkubwa Kanivusha Katika Hayo”.
Pia Amesema Kuwa Anapenda Usili Na Kumshirikisha Mungu Zaidi Katika Kazi Zake “Napenda Sana Usili Na Napenda Kumshirikisha Mungu Zaidi Badala Ya Kuongea Kwa Watu Kabla Jambo Halijafanyika Na Kusikiliza Sauti Ya Mungu Na Kuona Kama Ni La Kimungu Litafika Hatima Yake Litafanikiwa Na Litaonekana” Alisema Irene Rbert Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili.
Amebainisha Kuwa Amepanga Kufanya Events Za Kutosha Kwa Mwaka 2021 Kwa Hivyo Kwa Wale Ambao Ni Wadau Wake Wa Muziki Wa Injili Wajipange Kuona Ukuu Wa Mungu Kupitia Kuimba Live Ambapo Alikuwa Bado Hajafanya Hivyp Tangu Amaenza Kuimba.
Irene Robert Ni Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Ambaye Pia Amewahi Kufanya Vizuri Na Nyimbo Mbalimbali Mwaka 2020 Kama Vile Sidondoki Na Wimbo Wa Vile Vile Ambao Amemshirikisha Gurdian Anglem, Levkson Na Kimanzi
No comments:
Post a Comment