Mkurugenzi wa Habari Maalum Media Leonard George ameitaka jamii ya Kikristo Kuacha Tabia ya Kujikinai kwa Kuamini Mungu Hawezi Samehe.
Ameyasema hayo katika Ufunguzi wa Maombi ya Siku 40 katika Kanisa la FPCT Radio Habari Maalum Lillilopo Ngaramtoni Mkoani Arusha.
“Tusijikinai Mungu Yupo Tayari Kutusamehe” Alisema Leonard George Mkurugenzi wa Habari Maalum Media.
Hata Hivyo amesema kuwa Mungu ametaka jamii ya Kikristu Kujinyenyekeze, Kuomba kwa jina lake naye Yupo Tayari kusamehe Dhambi na Kuiponya Nchi kwa Mujibu wa Kitabu ya 2Nyakati 7:14.
No comments:
Post a Comment