Mwimbaji wa Gospel Kutoka Tanzania Entujael Msangi amesema mwaka 2022 anatarajia Kuwa na Bendi yake ambayo atakuwa anafanya Live ili aweze kumtumikia Mungu Kwa Uhuru Zaidi.
Entujael ameyasema Hayo Katika Mahojiano Maalum Katika Kipindi cha Top Ten ya Habari Maalu Fm kinacho sikika Kila Jumamosi saa Kumi na Moja Jioni.
Amesema Kuwa sababu ya Kuwa na Bendi ni kwa sababu huko Mbele Playback haitakuwa Inatumika Zaidi na Badala yake Mumuziki wa Live Utatumika Zaidi.
“Tusipo Jipanga Mapema Itakuja Kutusumbua hapo Baadae ni vizuri kuanza Kujipanga mapema ili kuondokana na Playback” alisema Entujael.
Tuombe Mungu
ReplyDelete