Kanisa la Mt.Padre Pio linalotarajiwa kutumika kaatika Hija Limefunguliwa  Jijini Daresalaam na Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam.

Kanisa hilo limefunguliwa na kuwekwa wakfu siku ya Ijumaa 13/08/2021 saa 10.30 Jioni

Kanisa hili ni sehemu ya Hija  limeunganishwa na eneo la Hekari 4 za Vituo vya Njia ya Msalaba na Makanisa madogo madogo kadiri ya mahitaji ya karama mbalimbali.

Hata hivyo Kanisa hilo ni moja ya vielelezo vya JUBILEI ya Miaka 100 ya Shirika la Ndugu Wadogo Wafrancisko Wakapuchini itakayofanyika Jumamosi 14/08/2021 pale Msimbazi Center, Dar es Salaam.

KANISA JIPYA LA HIJA LAANZISHWA DARESALAAM :

No comments:

Post a Comment