Legendari wa Muziki wa Gospel Nchini Reuben Kigame ameonya Kuwa endapo atafariki afisa yoyote wa serikali na wale wa MCK wasiruhusiwe kuzungumza katika Mazishi yake.
Kigame Amesema kuwa amekuwa akirekodi Mziki kutoka Mwaka 1987 na Kufikia sasa ana Jumla ya Albamu 29 lakini hana Kitu Chochote anacho weza Kuonyesha kuwa amepata toka kwa Mziki wake.
Amesema licha ya Mzziki wake kupata airplay Kubwa nchini Hata kutumiwa na Bendi za Majeshi nchini amekuwa akipokea K sh 18000 kilia mwezi.
Kigame Amesema haya Kupitia Twitwer account Yake na Kusema kUwa wasanii nchini wanapitia Matatizo Mengi na Kama isingelikuwa kumwimbia Mungu angelikuwa ameacha Muziki Kabisa.
No comments:
Post a Comment