Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Mkoani Arusha Jannet Kahembe Amesema Huduma Ya Uimbaji Wa Nyimbo Za Injili Inaweza Kutumika Kama Sehemu Ya Kipato Kwa Muimbaji Kwa Mujibu Wa Biblia.
 
Ameyasema Hayo Wakati Wa Mahojiano Katika Kipindi Cha Gospel Climax Kupitia Habari Maluum Media Na Kusisitiza Suala La Utunzi Wa Nyimbo Ambazo Zitawagusa Wasikilizaji Kuweza Kumjua Mungu.
 
Amesema Watu Walio Okoka Wanatakiwa Kuonekana Vizuri Katika Kipato Machoni Kwa Mataifa Ili Watu Wa Mataifa Wajifunze Kutoka Kwao Na Kuamini Hata Kwa Mungu Kuna Kila Kitu Badala Ya Kuamini Kuwa Mtu Anapo Okoka Anakuwa Masikini.
 
Watu Wengi Wanaaamini Kuwa Huduma Ya Uimbaji Wa Nyimbo Za Injili Haitakiwi Kuwa Na Malipo Na Kusahau Kuwa Wa Madhabahuni Wanatakiwa Kula Madhabahuni Na Nyimbo Wanazo Rekodi Zinatumia Gharama.
 
“Mtumishi Wa Mungu Anapofanikiwa Mungu Anaheshimika Na Kutengenezaa Ushuhuda Wa Kweli Moyoni Mwa Mataifa Na Kuepushwa Mungu Kutukanwa” .
 
Aidha Amewataka Waimbaji Hao Kuacha Kuimba Kwa Mazoea Na Kutunga Nyimbo Ambazo Zitawahudumia Wao Kwanza Bila Kuacha Kuwashirikisha Baadhi Ya Watu Waliofanikiwa Kupitia Uimbaji.
 
Janet Kahembe Ni Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Ambaye Anamiliki Nyimbo 11 Tangu Ameanza Kuimba Ni Mjasiriamali Na Anafanya Kazi Za Kuuza Utalii Wa Ndani Akiwa Na Kampuni Yake Inayo Jihusisha Na Utalii Kwa Kutembeza Wageni Wa Ndani Na Nje Ya Tanzania Katika Hifadhi Za Taifa Kama Vile Ngorongoro Tarangire, Manyara Na Nyingine Nyingi.
 
CHANZO CHA HABARI
Jina : Janet Kahembe
Huduma : Mwimbaji
Contact : +255784746375

JANET KAHEMBE : HUDUMA YA UIMBAJI NI CHANZO CHA KIPATO NDIYO

No comments:

Post a Comment