Muhamasishaji na Mwandishi wa Vitabu kutoka Eneo lenya Madini ya Kutosha Kanda ya Kaskazini Mkoani Arusha Brother Victor Lazaro anatarajia Kuzindua Kitubu Chake Kipya Kinacho Tambulika Kwa Jina la makubaliano Yenye Faida.
Victor Lazaro Amesema sababu ya Kuandika Kitabu hiki Makubaliano Yenye Faida Ni kutokana Hasara ambazo Watu wa Mungu wanazipata kwenye mahusiano kama vile biashara kwa sababu ya kukosa sayansi ya namna ya kufanya makubaliano.
Miongoni Kwa Waimbaji watakao Hudhuria Tukio hilo lìtakalo Fanyika Kanisa la TAG Victory Church Usariver ni Machalii wa Yesu kutoka Arusha.
Brother Victor Lazaro ni Mwanzilishi wa Nyumbani Culture na Ni Mwandishi wa Kitabu Cha Sauti Inayo Ishi na Kitabu cha Hesabu ambacho ameuza Kopi Kadhaa kwa Watu Kupitia Vipindi Mbalimbali ambavyo amekuwa akirusha Kwa njia ya Radio ikiwemo Habarimaaalumfm
Uzinduzi wa Kitabu Hiki Utafanyika Katika Kanisa la Victory Church TAG USA RIVER Tarehe 28/02/2021 kuanzia saa Nane Mchana Karibu Usikose.
CHANZO CHA HABARI
Mwalimu / Mwandishi : Victor Lazaro
Contact : +255623802164
Facebook : Victor Lazaro
Kanisa : TAG Victory Church Usa River
Mahali : USA RIVER
No comments:
Post a Comment