Na Method Charles
Karibu Msomaji wa Blog Hii haya Hapa Maelekeo ya Jinsi ambavyo Utaweza Mpigia Kura Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Kutoka Tanzania Shedrack Robert.
Ameandika Shadrack Rober Kupitia Ukurasa wake wa Instagram.
God will keep you safe and sound,
nakushukuru kwa kuwa mtu muhimu na mwenye kunishika mkono kila siku *Asante sanaaa *
Naomba Kura Yako tena kwenye AWARDS za https://instagram.com/rhemaawardsea_official...
JINSI YA KUPIGA KURA
Nenda Instagram search @rhemaawardsea_official
Au BONYEZA HIIhttps://instagram.com/rhemaawardsea_official...
*KISHA*
Bonyeza ( FOLLOW )
*ALAFU*
Nenda inbox( DM)
*Tuma message*
VOTING FOR SHADRACK ROBERT
How to Vote for Shadrack Robert :Kindly
Follow @rhemaawardsea_official on Instagram and message (DM) : *Voting for Shadrack Robert*
No comments:
Post a Comment