Na Method Charles

Watanzania Wametakiwa Kutafuta Ushirika Na Mungu  Kwa Kina Badala Kutoa Sadaka Na Zaka Pekee.

Akihubiri Katika Ibada YA Jumapili Mchungaji Msaidizi Wa Kanisa La Yerusalemu Mpya lillopo Kijenge Mwanama Mkoani Arusha Mchungaji Dr.Wilhard Mlay Amesema Moja Ya Sababu Ambazo Zinamfanya Binadamu Kujitenga Na Mungu bila kujua Ni Kukosekana Kwa Ushirika Kati Yake Na Mungu.

Dr.Mlay Amebainisha Kuwa Ushirika Kati Ya Mungu Na Binadamu kwa sasa  Ni Mdogo Na Kwa Watu Wengine Umekosekana Kabisa Huku Baadhi Yao Wakijiamisha  Kwa Kutoa Sadaka Na Zaka.

Akinukuu Habari Ya Yesu Alivyo Watembelea Mariamu Na Martha Amesema Yesu Hataki Sadaka Na Zaka Bali Anataka Ushirika Zaidi Ili Kuweza Kuachilia Baraka.

Amesema Katika Maisha Ya Leo Watu Wamekosa Muda Kabisa Wa Kuwa Karibu Na Mungu Na Wengine Wakitafuta Mhusiano Na Mungu Katika Siku Ya Jumapili Tena Kwa Masaa Mawili Au Limoja.

Dr. Mlay Alisema “Unakuta Mshirika Hana Mahusiano Na Mungu Anamtafuta Siku Ya Jumapili Tu Na Anahitaji Mungu Ambariki Unaweza Barikiwa Lakini Sio Kwa Kiwango Hicho Kwa Sababu Ya Kukosa Ushirika Na Mungu”.

Baadhi Ya Washirika Wa Kanisa Hilo Wamebainisha Kuwa Ni Kweli Mugu Anahitaji Mtu Mwenyewe Kujidhabihu Na sio kutoa Vitu au Mali Kwani Vitu Vyote Vijazavyo Nchi Ni Mali Ya Bwana lakini Roho ya Mtu ndilo hitaji la Mungu Zaidi ili kuiponya.

Ameeleza Kuwa Ni Jambo La Kusikitisha Kuwa Na Ushirika Na Mungu Kwa Masaa Mawili Ndani Ya Wiki Moja Na Bado Unajiita Mkristo Aliye Kamilika.

Pia Dr.Mlay Ametanabaisha Kuwa Muda Wa Jumapili kwenda  Kanisani Bado Hautoshi Kuwa Na Ushirika Na Mungu Kama Ambavyo Mungu Anatuagiza Katika Kitabu Cha Matayo 6:33.

 Hata hivyo amehitimisha kwa kuwataka wakristo  kuwa na ushirika wa kutosha wa kusoma neno, Kutafakari neno lake  na kuwa na Muda wa Kutosha na Mungu.

CHANZO CHA HABARI

MCHUNGAJI : DR.WILHARD MLEY

Contact : +255754393302

KANISA : JERUSALEM MPYA KIJENGE ARUSHA

NI AIBU KUWA NA USHIRIKA NA MUNGU MASAA MAWILI KWA WIKI MOJA NA UNAJIITA MSHIRIKA MKRISTO | MBINGU UTASUBIRI : DR. MLAY

No comments:

Post a Comment