Arusha

Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Nchini Tanzania Janet Kahembe Amesema Sababu Za Kuimba Wimbo Wa Yesu Hanyamazi  Ni Tamaa Na Maombi Ambayo Alikuwa Nayo Wakati Anakuwa Alimuomba Mungu Ili Awe Mwimbaji Na Mungu Amemfanya Kuwa Hivyo  Hivi Sasa Hali Ambayo Imemuaminisha Kuwa Mungu Hanyamazi.

Akizungumza Katika Kipindi Cha Praise Time Ya Habari Maalum Fm 97.7 Inayo Sikika Katika Ukanda Wa Kaskazini Na Baadhi Ya Maeneo Ya Kati Mwa Tanzania Amesema Uwezo Alio Upata Tangu Anaomba Akiwa Mtoto Na Hivi Sasa Umemdhibitishia Kuwa Mungu Hanyamazi.

Anasema “Kusema Za Ukweli Nilikuwa Namuomba Sana Mungu Ili Nami Kuja Kuwa Muimbaji Na  Mungu Amefanya Kwa Sasa Naimba Hiki Kimenifanya Nimuamini Na Nitunge Wimbo Kuwa Mungu Hanyamazi”.

Amesema Alivyo Pata Kibali Cha Kuanza Kuimba Huo Ulikuwa Ni Wimbo Wake Wa Kwanza Kutunga Na Kuutengeneza Kwa Sababu Ya Mungu Alivyo Simama Na Yeye Katika Kufikia Maono Na Ndoto Zake.

Aidha Amesema Kuwa Anampenda Rose Muhando Kwa Sababu Yeye Ndiye Ambaye Aliiamsha Tasnia Ya Muziki Wa Injili Na Kuwa Hapa Ilipo Ilipo Hivi Sasa.

Hata Hivyo Amebainisha Kuwa Moja Ya Waimbaji Wa Nyimbo Za Injili Ambao Wamekuwa Ni Sababu Ya Yeye Kufika Hapo Ni Bahati Bukuku Kwa Sababu Ya Aina Na Mfumo Ambao Anautumia Katika Kutengeneza Maudhui Katika Nyimbo Ambazo Kwa Sehemu Kubwa Zina Jikita Katika Biblia.

Janet Kahembe Ni Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Ambaye Anamiliki Nyimbo 11 Tangu Ameanza Kuimba Ni Mjasiriamali Na Anafanya Kazi Za  Kuuza Utalii Wa Ndani Akiwa Na Kampuni Yake Inayo Jihusisha Na Utalii Kwa Kutembeza Wageni Wa Ndani Na Nje Ya Tanzania Katika Hifadhi Za Taifa Kama Vile Ngorongoro Tarangire, Manyara Na Nyingine Nyingi.

CHANZO CHA HABARI

Jina : Janet Kahembe

Huduma : Mwimbaji

Mahali  : Arusha

Contact : +255784746375

JANET KAHEMBE : ROSE MUHANDO AMEUFIKISHA HAPA MUZIKI WA INJILI|TAMAA MAOMBI VILIZAA MUNGU HANYAMAZI

No comments:

Post a Comment