Na Method Charles
Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka South Afrika Ambaye Ni Mzaliwa Wa Tanzania Imma Kuleba Amesema Anatarajia Kuachia Ep Yake Ambayo Ameipatia Jina La Elengos Itakayo Patikana Katika Digital Plaform Zote Huku Akimshirikisha Mwimbaji Wa Nyimbo Ya Yerusalema Ambayo Inafanya Vizuri Maeneo Mbalimbali Duniani Master Kg.
Imma Kuleba Amebainisha Kuwa Katika Ep Yake Kutakuwa Na Muunganiko Wa Mataifa Manne Ikiwemo Malawi, Tanzania, Namibia Pamoja Na South Afrika.
“Hii Ep Imekusanya Mataifa Manne Ambayo Yametengeneza Ladha Tofauti Kuanzia Producer Na Waimbaji Kwani Producers Wametoka Malawi, Ubeligiji Na Jamaika Wasaani Ambao Watasikika Katika Ep Ni Pamoja Na Master Kg Kutoka South Afrika Na Obby Christ Kutoka Namibia”.
Aidha Amebainisha Kuwa Atafanya Tukio La Kuachilia Ep Yake Kupitia Online Na Anamini Kuwa Itawafikiwa Watu Wengi Sana Na Kufanyika Baraka Kwa Watu.
“Sitafanya Event Yoyote Ya Kuitisha Watu Kwasababu Ya Corona Bali Nitajikita Zaidi Kutumia Online Kuaachili Ep Yangu” Alisema Imma Kuleba Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka South Afrika.
Hata Hivyo Amesema Kuwa Kwa Sasa Huduma Ya Unezaji Wa Injili Nchi Afrika Kusini Haifanyiki Kama Zamani Kwani Kazi Zote Zimehamia Online Na Hata Kupelekea Baadhi Ya Wahubiri Kuandamana Kutaka Huduma Za Uenezaji Wa Injili Zianze Kufanyika Kama Zamani.
Imma Kuleba Ni Mwimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka Tanzania Anaye Ishi South Afrika Ambaye Amewahi Kufanya Vizuri Na Nyimbo Mbalimbali Ikiwemo Njia Ya Uzima.
Chanzo Cha Habari
Mwimbaji: Imma Kuleba
Contact :@Immakuleba / +27632427411
Mahali :South Afrika
No comments:
Post a Comment