Baada ya Kupokea Tuzo hiyo Rose Muhando amesema amepitia Mambo Magumu sana licha ya watu kuona picha a mitandaoni ila kuna mengi amepitia kipindi cha hivi karibuni.
“Nimepitia Mambo magumu sanalicha ya watu kuona picha mitandaoni ila kuna mengi nimepitia katika kipindi cha hivi karibuni “ Alisema Rose Muhando.
Rose Muhando Anapokea Tuzo hiyo baada ya Ukimya wa Miaka Mitano bila Kutoa Wimbo huku kukiwa na Video na Picha zinamuonyesha akipitia Changamoto Tofauti tofauti.
Itakumbukwa kuwa Rose Mundao amekuwa muimbaji wa Nyimbo za Injili Zaidi ya Mika Kumi na Tano sasa na Bado anaendelea Kufanya vizuri licha ya kupitia Changamoto Mbalimbali katika Tasnia Muziki wa Injili nchini Tanzania na Duniani Kwa Ujumla.
No comments:
Post a Comment