Mwimbaji wa Nyimbo za Injili kutoka Mlima Meru Kanda ya Kaskazini ambaye ni Gospel Raper Mnene Mkweta  amesema hana Mpango wa Kuanzisha Kanisa kwa sasa kwani bado anatamani  kuwasaidia vijana zaidi licha ya Waimbaji wengi kwa sasa Kuanzisha Makanisa.

Akizungumza live kipindi cha Top Ten kinacho sikika kila siku za Juma Mosi saa Kumi na Moja, Habari Maalum fm 97.7 na Kuongozwa na mtangazaji wa Kipindi hicho Method Charles ambapo   Mnene Makweta amesema hana mpango wa kuanzisha kanisa  kwa Sasa.

Pia amesema nyimbo ambayo anaikubali na kuisiliza  milele ni kutoka kwa Franc Jamrack Inaitwa Chichi Dance  kwasababu ni kijana ambaye anajitahidi sana kumtumikia Mungu pia amefurahishwa na watu walivyo cheza kwenye Huo wimbo.

Aidha amesema kuwa watu waendelee kumsapoti na anashukuru kwa kumpigia kura na kuenedelea kufanya Vema katika Playlist ya Nyimbo kali kumi za Injili   na kuangalia video yake Youtube.

Mnene Makweta ameongeza kuwa hajakusudia kuanzisha kanisa kwa sasa kwasababu ana mambo makubwa ya kufanya na vijana yaani mtaa kwamtaa ili kuwafikia.

Hata hivyo amesema kauli hii ya kuimba na kuhubiri anaiangalia kwa Mapana Zaidi kwa sababu ya aiana ya Kipaji alicho Nacho kwa sasa na kuangalia jinsi ambavyo anatakiwa kukitumia ila sio kuanzisha Kanisa.

Nyakati za Hivi Karibuni kume kuwa na Ongezeko la Waimbaji mbalimbali wa nyimbo za injili  kuanzisha Maknisa Yao akiwemo Bahati Bukuku, Chistina Shusho, Masanja Mkandamizaji na waimbaji wengine mbalimbali.

MNENE MAKWETA : SIJAKUSUDIA KUANZISHA KANISA NINA HAJA NA VIJANA

No comments:

Post a Comment