Watoto 7 wameuawa na wengine 120 kujeruhiwa katika mlipuko uliotokea kwenye shule ya kidini mjini Peshawar, Khyber Pakhtunkhwa, kaskazini magharibi mwa Pakistan.
Mpaka sasa hakuna kundi lolote lililokiri kuwajibika na mlipuko huo uliotokea wakati watoto wengi wakiwa madarasani wakisoma.
No comments:
Post a Comment