Nabii Utukufu kwa Bwana anaye ongoza Huduma ya Yesu Nuru ya
watu iliyopo Matejo Mkoani Arusha Nchini
Tanzania amevunja rekodi kwa kufanya
kongamano la siku 70 tofauti na ilivyo
zoeleka hapa nchini Tanzania na Duniani
kwa ujumla.
Akizungumza na Methodchazi.blogspot.com Nabii Utukufu kwa
Bwana amesema kuwa kufanya kongamano hilo
ni Mungu alimpa mafunuo ya kufanya Kongamano hilo la siku 70.
Aidha Nabii utukufu
amesema kuwa awali Mungu alimpa
kibali cha kufanya kongamano kwa siku 21 na baadae ndipo Mungu alipo mpa Mamla
ya kufanya kongamano la siku 70 tofauti
na tulivyo zoea pambapo makongamano hufanywa kwa siku
30.
Katika Kongamano hilo zaidi ya watu 60 waliokoka na
kumkabidhi yesu maisha yao na Kumfanya kuwa Bwana na Mwokozi katika Maisha yao.
Amesema katika kuhakikisha watu hawa ambao wameokoka Kanisa limejipanga kuwafundisha kuukulia wokovu katika siku ya
Ijumaa na Jumamosi.
Moja ya Mzee wa kanisa hilo Mzee Loishie amesema kuwa
zaidi ya watu miatatu wameponywa kiroho huku ikelezwa kuwa zaidi ya watu
100 waliponywa Magonjwa mbalimbali katika kongamano hilo la siku 70.
Tumaini aliombewa na Kupata kazi ya Cashier mkoani Singida”Nilikuwa
natafuta kazi kwa Miaka miwili baada ya
kufikika Mdhabauhu ya Yesu Nuru ya Watu
nikakanyaga Mafuta Yesu akanionekani
nakapigiwa simu na nilipo fanyiwa Interview nakapita namshukuru sana yesu”
Magonjwa ambayo watu waliponywa ni pamoja na ukmwi,Kansa
Presha Kisukari,Vidonda vya Tumbo Goita na Kichaa.
Hata hivyo katika kongamano hilo baadhi ya watu waliponywa
kwa njia ya Radio kwa Kongamano hili lilikuwa likisikika kupitia Habari Maalum
fm 97.7.
No comments:
Post a Comment