
Utawala wa rais Trump unapanga
kutangaza vikwazo dhidi ya China siku ya Alhamisi baada ya kubaini
kwamba taifa hilo linashinikiza wizi na uhamisho wa ubunifu kutoka
biashara za Marekani
.
Ikulu ya whitehouse imesema kuwa hatua hiyo
inajiri baada ya miaka kadhaa ya mazungumzo yalioshindwa kupata suluhu
kuhusu wala hilo.
Vikwazo hivyo vitashirikisha ushuru na masharti mengine.
Mpango
huo umezua hofu kuhusu vita vya kibiashara. Ikulu ya whitehouse
iliripotiwa na vyombo vya habari vya Marekani kuweikea ushuru wa kati ya
$30bn-$60bn kwa mwaka pamoja na masharti ambayo yatazuia uwekezaji .
No comments:
Post a Comment