Mtangazaji wa redio mkongwe zaidi ulimwenguni amefariki dunia.
Kwa mujibu wa habari Alice Östlund raia wa Sweden ,amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 111.
Wakati huhuo alikuwa ni mwanadamu mkongwe zaidi pia katika nchi za Scandnavia.
Kituo cha redio cha taifa nchini Sweden kimetangaza kuwa Östlund amefariki usiku wa manane akiwa nyumbani kwake Trollhättan..
Alice Östlund alizaliwa mwaka 1906 nchini Sweden na alijulikana kwa utangazaji wake maridadi kabisa wa radio.
Alianza kazi ya utangazaji katika kituo cha redio cha taifa nchini Sweden mwaka 2007 akiwa na umri wa miaka 101.
Mtangazaji mkongwe zaidi wa redio afariki dunia

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment