Klabu ya Yanga leo hii imeingia mkataba wa miaka mitatu na
kampuni ya Macron wenye thamani ya Sh. Bilioni 2 kwa ajili ya
utengenezaji na uuzaji wa jezi za klabu hiyo.
Akizungumza katika hafla ya kusaini mkataba huo Katibu Mkuu wa
Yanga, Chalse Boniphace Mkwasa amesema kwamba mkataba utakuwa na
ongezeko kutokana na makubaliano waliyofikia.
YANGA YAPATA UDHAMINI MNONO TOKA KAMPUNI YA VIFAA VYA MICHEZO MARCON WENYE THAMANI YA BILIONI 2 MIAKA MITATU
Klabu ya Yanga leo hii imeingia mkataba wa miaka mitatu na kampuni ya Macron wenye thamani ya Sh. Bilioni 2 kwa ajili ya utengenezaji na uuzaji wa jezi za klabu hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment