Image result for plo palestine
Kamati kuu ya Chama cha Ukombozi wa Palestina PLO imependekeza kusimamisha kulitambua taifa la Israel.
Taarifa iliyotolewa mwisho wa mkutano wa siku mbili wa Kamati hiyo uliofanyika mjini Ramallah, kando ya magharibi ya mto wa Jordan, imependekeza PLO na rais Mahmoud Abbas wa Palestina kusimamisha kulitambua taifa la Israel hadi nchi hiyo itakapotambua taifa huru la Palestina kwenye mipaka ya mwaka 1967 na kufuta uamuzi wa kukalia Jerusalem Mashariki.

Taarifa hiyo pia imepinga uamuzi wa rais Donald Trump wa Marekani kutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel na kuhamisha ubalozi wa nchi hiyo mjini humo.

Chama cha PLO cha Palestina chapendekeza kusimamisha kutambua taifa la Israel

Image result for plo palestine
Kamati kuu ya Chama cha Ukombozi wa Palestina PLO imependekeza kusimamisha kulitambua taifa la Israel.
Taarifa iliyotolewa mwisho wa mkutano wa siku mbili wa Kamati hiyo uliofanyika mjini Ramallah, kando ya magharibi ya mto wa Jordan, imependekeza PLO na rais Mahmoud Abbas wa Palestina kusimamisha kulitambua taifa la Israel hadi nchi hiyo itakapotambua taifa huru la Palestina kwenye mipaka ya mwaka 1967 na kufuta uamuzi wa kukalia Jerusalem Mashariki.

Taarifa hiyo pia imepinga uamuzi wa rais Donald Trump wa Marekani kutambua Jerusalem kama mji mkuu wa Israel na kuhamisha ubalozi wa nchi hiyo mjini humo.

No comments:

Post a Comment