Mwanasoka wa zamani wa Klabu za
Ac Milan, Monaco, PSG, Manchester City na mshindi wa Tuzo ya Ballon d’Or
1995 George Weah amechaguliwa kuwa Rais wa Liberia mara baada ya
kushinda majimbo 12 kati ya 15 kwenye nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
Kwa kupitia ukurasa wake wa Twitter amewashukuru watu wote waliompigia kura na wale ambao hawajampigia kura.
Weah amemshinda aliyekuwa Makamu
wa Rais, Joseph Boakai mwenye umri wa miaka 75, ambaye amekuwa Makamu wa
Rais kwa miaka 12, amepata kura katika majimbo mawaili tu.
No comments:
Post a Comment