Chuo cha Taifa cha Utalii kimetoa Mafunzo kwa Wataalamu  42 wa Upangaji wa Madaraja na Upimaji Ubora wa Huduma za Malazi na Chakula nchini Tanzania  ikiwa ni  Maandalizi ya Kupokea  Watalii Baada ya kujitangza kupitia Filamu ya Royal Tour.

Akizungumza katika Hafla ya Kufunga Mafunzo hayo Katibu mkuu wa wizara ya Mali ya Asili na Utalii Dr.Michaele Francis Amesema Wameamua Kutoa Mafunzo hayo ikiwa nia maandalizi ya Kupokea watalii kutoka sehemu Mbalimbali Duniani na Kuboresha Huduma za Kitalii nchini.

Rose Sedoyeka Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Utalii amesema  katika mafunzo haya Washiriki 28 wanatoka katika sekta ya umma huku washiriki 14 wakitoka Sekta Binafsi lengo likiwa ni kuboresha huduma ya Kitalii baada ya Rais Samia Kujitangaza Kupitia Royal Tour.

Akibainisha Sababu za Kufanya Mafunzo hayo Sedoyeka amesema ni kutokana na uhaba wa wataalamu hao nchini Tanzania ambapo mpaka hivi sasa kuna wataalamu 4 nchini Tanzania bara huku  mtaalamu 1 akiwa visiwani Zanzibar.

Mafunzo haya yatasaidia kuboresha Huduma za Kitalii baada ya kuwepo kwa Idadi Ndogo ya wataalamu wa Upangaji wa Madaraja na Upimaji wa Huduma za Malazi  na Chakula Tanzania ikiwemo Hotel.

Imeelezwa kuwa Mara Ya Mwisho Kutolewa kwa mafunzo haya Ilikuwa mwaka 2011 na Wataalamu 12 pekee ndio walio Nufaika na Mafunzo hayo ambayo Imekisukuma chuo hiki Kuratibu Mafunzo Kwa kuzingatia Ukoaji wa Soko la Utalii Nchini Tanzania.

WATAALAMU 42 WAPEWA MAFUNZO YA UPANGAJI MADARAJA HOTEL NA HUDUMA ZAKE NCHINI TANZANIA

No comments:

Post a Comment