Wanafunzi 30 wa Kanisa Katoliki ambao walitekwa nyara na watu wenye silaha Kusini Magharibi mwa Cameroon, wameachiwa huru.

Habari hiyo ya kuachiwa huru wanafunzi 30 waliokuwa wametakwa nyara imetangazwa na Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Cameroon. 

Wanafunzi hao walitekwa nyara Alkhamisi iliyopita na watu wenye silaha na kisha kupelekewa katika eneo la msituni karibu na mji wa Mamfe.  

Msemaji wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Cameroon ameeleza kuwa, wanafunzi hao wameachiwa huru bila ya kulipa pesa yoyote kama kikombolea na hakuna hata mmoja aliyedhurika. 

Hadi sasa haijajulikana ni kundi gani lililohusika na tukio hilo la utekaji nyara.

WANAFUNZI 30 WA KIKATOLIKI WALIO TEKWA WAACHILIWA HURU

No comments:

Post a Comment