Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi, Januari 8, 2022 amefanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri ambapo ameingiza mawaziri wapya na manaibu waziri huku akiwaacha aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Prof. Palamagamba Kabudi, aliyekuwa Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Bisahara, Prof. Kitila Mkumbo na aliyekuwa Waziri wa Uwekezaji, Geofrey Mwambe.
Kwa upande wa Manaibu Waziri walioachwa ni Mwita Waitara ambaye alikuwa Naibu Waziri wa Ujenzi, aliyekuwa Naibu wa Mambo ya Ndani, Khamis Hamza Chilo.
Ofisi ya Rais
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Maalum – Kapeni Geroge Mkuchika
Waziri wa Utumishi – Jenista Mhagama
Naibu Waziri Utumishi – Deogratius John Ndejembi
TAMISEMI
Waziri – Innocent Bashungwa
Naibu Waziri Elimu – David Silinde
Naibu Waziri Afya – Festo Dugange
Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira
Waziri – Suleimani Jafo
Naibu Waziri – Hamis Hamis
Wizara ya Kazi Ajira
Waziri – Ndalichako
Naibu Waziri – Patrobas Katambi
Wizara ya Fedha
Waziri – Mwigulu Mwigulu
Naibu Waziri – Hamad Chande
Wizara ya Ulinzi
Waziri – Stergomena Tax
Wizara ya Sheria na Katiba
Waziri – George Simbachawene
Naibu Waziri – Godfrey Mizengo Mizengo Pinda
Wizara ya Kilimo
Waziri – Hussein Bashe
Naibu Waziri – Anthony Mavunde
Wizara ya Uvuvi
Waziri – Mashimba Ndaki
Naibu Waziri – Abdallah Hamisi Ulega
Wizara ya Ardhi
Waziri – Angelina Mabula
Naibu Waziri – Ridhiwani Kikwete
Wizara ya Mambo ya Ndani
Waziri – Mhandisi Hamad Masauni
Naibu Waziri – Sagini Jumanne Abdallah
Wizara ya Mambo ya Nje
Waziri – Liberata Mulamula
Naibu Waziri – Mbaruku
Wizara ya Maliasili
Waziri – Dkt. Damas Ndumbaro
Naibu Waziri – Mary Masanja
Wizara ya Nishati
Waziri – January Makamba
Naibu Waziri – Steven Byabato
Wizara ya Madini
Waziri – Dkt. Dotto Biteko
Naibu Waziri – Dk Stephen Kiluswa
Wizara ya Ujenzi
Waziri – Prof. makame Mbarawa
Naibu Waziri Ujenzi – Atupele Mwakibete
Naibu Waziri Uchukuzi – Godtlfrey Kasekenya
Wizara ya Viwanda
Waziri – Ashatu Kijaji
Naibu Waziri – Exaud Kigahe
Wizara ya Afya
Waziri – Ummy Mwalimu
Naibu Waziri – Godwin Mollel
Wizara ya Elimu
Waziri – Prof. Adolf Faustine Mkenda
Naibu Waziri – Omary Kipanga
Wizara ya Maendeleo ya Jamii
Waziri – Dk. Dorothy Gwajima
Naibu Waziri – Mwanaidi Hamis
Wizara ya Maji
Waziri – Jumaa Aweso
Naibu Waziri – Maryprisca Winfried Mahundi
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo
Waziri – Mohammed Mchengerwa
Naibu Waziri – Pauline Philipo Gekul
Wizara ya Habari na Mawasiliano
Waziri – Nape Nnauye
Naibu Waziri – Kundo Mathew.
No comments:
Post a Comment