Imeelezwa kuwa Viongozi wa kanisa kulea na kuhudumia watoto ni Njia ya kuwaandaa kuwa kanisa Bora la baadae.
 
Hayo Yamebainishwa na Askofu Mkuu wa kanisa la FPCT Jimbo la Arusha, Askofu Ayubu Muna katika ibada ya uzinduzi wa kanisa la mahali lililofanyika katika kanisa la FPCT monduli.
 
Askofu Muna amelitaka kanisa kujijenga katika msingi wa Yesu Kristo.
 
Kwa upande wake Askofu wa kanisa la mahali Ngaramtoni, Nathanael Marandu amelitaka kanisa kuepuka migogoro kwani haitoki mbinguni Bali kwa shetani.
 
Hata hivyo Askofu wa misheni ya Ngaramtoni Mchungaji Zabron Laizer akisona risala kwa mgeni rasmi Askofu wa FPCT Jimbo la Arusha ameiomba uongozi wa serikali ya wilaya ya monduli kuwasaidia kupata viwanja vya majengo na eneo la Barabara ya kudumu ya kuingia kanisani hapo.

ASKOFU MUNA AZINDUA KANISA LA MAHALI MONDULI AZUNGUMZA HAYA :

No comments:

Post a Comment