Leo tar 20 julai Askofu Mkuu Mch Stevie Mulenga ametembelea zahanati ya Bulangamilwa inayomilikiwa na FPCT iliyopo Wilaya ya Igunga Mkoani Tabora.
Askofu Mkuu ametembelea zahanati hiyo kwa lengo la kuona changamoto zilizopo katika zahanati hiyo na namna ya uendeshaji wa zahanati hiyo.
Akiwa hapo Askofu Mkuu amejionea utendaji wa zahanati hiyo na jinsi inavyo hudumia jamii hiyo katika kijiji cha Bulangamilwa.
Askofu Mkuu Mch Stevie Mulenga na Mama Askofu Katikati akiwa na Moja ya Wauguzi wa Zahanati ya Bulangamilwa kutoka Kulia.
No comments:
Post a Comment