Arusha (Sanawari)

Jamii ya wakristo wametakiwa Kutambua na Kutafuta thamani ambayo Mungu ameiweka ndani yao ili kuishi Kimungu.

Hayo yamesemwa na Pastor Orche Mgonja wa kanisa la Lift Him Up Church Sanawari Katika Ibada ya Jumapili.

Pastor Mgonja Amewataka wakristo kujikita kumfahamu Mungu zaidi kiroho na kuwa na elimu ya Kimungu ambayo itamfanya kugundua Thamani iliyo ndani yao itakayo wafanya kufikia Viwango vya Kimungu.

"Thamani ya Mtu inatokana na Vitu Vikubwa vitatu  ambavyo ni Jinsi alivyo Umbwa Jambo la Pili ni Ule Uhai wake na jinsi anavyo Kaa Kwake Duniani pia  Jambo la Tatu ni Matumizi ya Mwanadamu Duniani hivyo ndivyo vinafanya Thamani ya Mtu" Alisema Pastor Orche Mgonja.

Pastor Orche Mgonja Amewataka Wakristo kujijengea uwezo wa Kujitambua ili kuweza kudumisha Uungu na kufanya Kazi katika ufalme wa Mungu.

Izack William ni Mshirika katika Kanisa la Lift Him Up Church Sanawari Arusha amesema Endapo Mtu atatambua Thamani iliyo ndani yake  itamsaidia Kujua jinsi ya Kuenenda katika vita Vilivyo mbele yake.

Kanisa la Lift Him Up Church Sanawari Lipo Mkoani Arusha linawashirika zaidi ya 500 Arusha mjini   huku likiwa na makanisa ya Mahali zaidi ya kumi na Mbili 12 Tanzania nzima .

CHANZO CHA HABARI

Jina : Orche Mgonja

Huduma : Mchungaji Kiongozi 

Mahali  : Arusha

Kanisa : Lift Him Up Church Sanawari

Contact : +25575536900

PASTOR MGONJA : TATIZO LA MTU NI THAMANI ALIYO NAYO

No comments:

Post a Comment