Na Hekima Jonathan

Mwimbaji  wa muziki wa injili nchini Tanzania Joel Lwaga  anayezidi kufanya vizuri katika Tasinia ya Muziki wa Injili Hapa nchini na Dunia Kwa Ujumla  amesema kuwa Ndoa Yake Iko salama na Anaifurahia.

Hayoa ameyabainisha katika  mahojiano na Mtangazajia wa kipindi cha Top Ten ya Habari Maalum Fm 97.7  kinahosikika kila Jumamosi saa Kumi na Moja Jioni hadi Saa Moja Usiku.

"Mambo mazuri tunamshukuru MUNGU kwa kweli kwani kila kukicha ndoa inazidi kupendeza ni jambo ambalo nazidi kumshukuru MUNGU",

Joely Lwaga aliweza kujibu hivyo Baada ya Mtangazaji wa Kipindi wakati alipoulizwa kuhusiana na ndoa yake.

Akizungumzia juu ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Usipagane ambao umeweza kupigiwa kura nyingi sana na wadau wa kipindi cha Top Ten ili uweze kushika nafasi ya kwanza amesema kuwa anawashukuru sana wapenzi wa kazi zake haswa wakazi wa ukanda wa kaskazini kwa mapenzi wanayoonesha.

Aidha  amesema mpango wake wa kufanya matamasha Mubashara upo palepale baada ya kuona matokeo mazuri kwa tamasha lilopita lakini kwa upande wa kaskazini haswa mkoa wa Arusha basi wadau wa muziki wa injili wakae mkao wa kula kwani mazuri yapo mengi.

Hata Hivyo amemalizia kwa kuwashukuru wadau wote wa muziki wa injili kwa upande wa kaskazini na kuahidi kazi nyingi nzuri zipo zinakuja lakini kama wapendwa kikubwa ni kubebana katika maombi kwani vikwazo ni vingi.

CHANZO CHA HABARI

Jina : Joel Lwaga

Huduma : Mwimbaji wa Nyimbo za Injili

Mahali  : Daresalaam

Contact : @joellwaga

JOEL LWAGA ABAINISHA HALI YA NDOA YAKE

No comments:

Post a Comment