Arusha

Imeelezwa kuwa kanisa Kukosa kufuata Utaratibu  ni kwa sababu ya Kukosekana kwa  Maandalizi ya watoto kwa Ngazi ya Kaya.

Hayo yamesemwa na Bishop Julius  Laizer wa Kanisa la Naivera Apostoric Church  lililopo  Mtaa wa Machenje Mkoni  Arusha wakati wa Ibada ya Jumapili.

Bishop Laizer Amebainisha Kuwa Kiongozi wa Familia ambaye ni Baba anatakiwa  kujifunza Kumfundisha  Mtoto Kuhusu Mungu Ili kumjengea Mazingira Mazuri ya kumfahamu Mungu akiwa Bado Mtoto.

Amesema Kuwa Matokeo ya Kanisa la Leo ni Kwa sababu ya mafundisha yanayo toka Ndani ya familia hivyo ni jukumu la msimamizi wa Familia kuongoza Familia  katika Misingi ya Kimungu ili kuzalisha uzao wenye Tija Kwa Kanisa.

Aidha amesema kuwa wakristo wanao Ongoza Familia  wanatakiwa kuwa  na kawaida ya  Ibada za Majumbani ili Kutengeneza uzao wenye faida kwa kanisa.

Kwa upande wa Baadhi ya Washirika ambao walihudhulia Ibada hiyo wamebainisha kuwa ni kweli katika Familia za Leo kumekuwa na Uhaba Mkubwa wa Mikutano ya familia kwa sababu ya ubize wa Maisha hali inayo fanya  watoto kukukulia katika Maadili mabovu.

Kanisa la Naivera lina zaidi ya washirika 1000 ambao wamekuwa wakihudhuria Ibada ndani ya Kanisa hilo kila baada ya Mwisho wa wiki katika kanisa Hilo lilopo Kusini mwa Arusha Mjini.

CHANZO CHA HABARI

Mchhungaji : Bishop Dkt.Julius Laizer

Contact : +255754386865

Kanisa : Naivera Church Apostolic

BISHOP LAIZER : KANISA LA LEO NI MATOKEO YA FAMILIA ZETU

No comments:

Post a Comment