Mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka Ruuma ambaye kwa sasa yupo Mkoani Arusha Kikazi JackobMartin amesema Mwimbaji anaye mpenda katika Tasnia ya Muziki wa Injili ni Ambwene Mwasongwkwa sababu ya Nyimbo Zake kubeba ujumbe unao gusa na kuponya Maisha ya Watu.

Akizungumza na Method Charles katika Kipindi cha  Top Ten kinacho sikika Siku za Jumamosi Kupitia Habari Maalum Fm amesema  mama yake ndie aliye Msaidia kufikia kiwango cha Uimbaji alichonacho hivi sasa na sio Baba yake.

“Mama alikuwa anaimba kwaya kwa sababu hiyo na mimi nikawa Mwimbaji na Kunifanya kuwa  hivi nilivyo kwa sasa” Alisema Jackob Martin.

Mwalimu Martin  ambaye Kitaaluma ni Mwalimu ambaye alisha wahi kufundisha shule mbalimbali ikiwemo Samartan Girls iliyopo Mkoani Mbeya amesema  waimbaji wanatakiwa kuimba injili ya Yesu na sio kuimba Mapito na shuhuda  ya Mtu na badala yake wanacho takiwa kukifanya ni kutunga mashairi na kuwasaidia watu kupitia Matatizo hayo.

“Mimi katika Familia yetu wote ni Waalimu na ni neema ambayo Mungu ametupangia kuanzia Baba yangu na familia nzima na ni Mwalimu wa somo na Geography na nafundisha mpaka Sasa” Alisema Mwalimu Jackob Martin.

Pia amesema Mwimbaji ambaye anamgusa Zaidi kupitia uimbaji wake ni Ambwene Mwasonge kwasababu nyimbo zake zipo kwa namna ya pekee sana na zinaujumbe wa tofauti sana.

Ametanabaisha kuwa uimbaji wa nyimbo za injili  sio kwamba haukidhi mahitaji kwa sababu muimbaji anaye mjua kristo hata nyimbo anaye imba inatokana na kile alicho beba ndani yake  hivyo uimbaji wa leo unakidhi mahitaji ya Leo kulingana na Mapokeo ya Mtu.

Hata Hivyo ameongeza kuwa jambo ambalo hawezi lisahau katika Maisha yake ya Uimbaji ni Kundi la watoto ambalo alikuwa analisimamia na kulilea katika Shule ya Samaritani Girls ambayo iko Mbeya  baada ya kuamini kuwa Mungu atawafanya Wafaulu wote na kikatokea hivyo walifaulu wote licha ya Kuwa ilikuwa haijawahi kutokea huko Nyuma.

JACKOB MARTIN : NAMPENDA AMBWENE MWASONGWE | WAIMBAJI TUSIMBE MAPITO TUWASAIDIE WATU KATIKA MAPITO KUPITIA UTUNZI WETU

No comments:

Post a Comment