Na Method Charles

Mchungaji  wa Kanisa la Anglikana  Wavel Ramkalawan ameshinda uchaguzi wa Rais na kuwa rais wa Seychelles na kumaliza miongo ya upinzani kutoka visiwa hivyo vilivyomo katika Bahari ya Hindi kwamba atatakiwa kuliunganisha taifa. 

Taifa hilo linakaliwa na watu 96,762 ni moja ya Visiwa vilivyop kado ya  bahari ya hindi.

Kulikua na maneno machache ya kuelezea sifa zake katika hotuba ya kuapishwa kwa Wavel Ramkalawan alipokuwa akionekana kujikita zaidi katika kuwakaribisha wananchi na wageni wa heshima waliokuwa wameketi katika viwanja vya Ikulu. 

Kuchaguliwa kwake ni mwanzo wa mabadiliko kwa visiwa hivyo, ambako urais umekuwa ukitawaliwa na chama kimoja tangu mwaka 1977. 

Rais huyo mpya ni mchungaji aliyetawazwa wa kanisa la Kianglikana, na haishangazi kwamba ujumbe wake wote ulikua ni wa amani, uvumilivu na wa kuwaomba Waseychelles kufanya kazi pamoja kwa ajili ya umoja wa taifa, na kuzuwia mgawanyiko wa miaka mingi sana wa mzozoz wa kisiasa.

Hata hivyo akimshuru  rais anayeondoka madarakani Danny Faure kwa kuyaweka wazi mazungumzo ya kisiasa kwa miaka michache iliyopita, Bw Ramkalawan alisisitizia haja ya kuvumiliana miongoni mwa watu wa seychelles na akatoa wito wa kile alichokiita kurejea kwa utu miongoni mwa jamii ambapo kila mtu anamsalimia mwenzake habari za asubuhi na ambapo tofauti za asili na kijamii nina wekwa kando.

CHANZO CHA HABARI 

BBC SWAHILI

MCHUNGAJI KANISA LA ANGLIKANA ATAWAZWA KUWA RAIS WA NCHI YA SEYCHELLES BAADA YA KUTAWALIWA NA CHAMA KIMOJA TANGU 1977

No comments:

Post a Comment