Mwishoni mwa wiki lililopita Mwimbaji wa Nyimbo za Injili kutoka Ukanda wa Kaskazini Lydia Livingstone alifanikiwa kufanya Tamasha ikiwa ni Sherehe ya Miaka 10 ya Huduma Yake.
Methodchaz.com Ilifanikiwa kuapa baadhi ya Picha kutoka Sherehe ya Miaka 10 ya huduma ya Lydia Livingstone kutoka kanisa la Victory Faith Kijenge Mwanama.
Unaweza Kuzitazama
No comments:
Post a Comment